Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi CCM, kilichoketi Jiji Dodoma leo Januari 31, 2022, kimempitisha kwa kauli moja Dkt. Tulia Ackson kuwa Mgombea wa Nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.

Uchaguzi wa Spika unatarajiwa kufanyika kesho Februari 1, 2022 uchaguzi ambao utafanyika Bungeni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...