Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoa heshima za mwisho katika mwili wa kaka yake aliyekuwa Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Askofu Gerald Mpango wakati wa ibada ya kuaga mwili huo iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano lililopo Posta jijini Dar es salaam


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoa neno shukrani kwa waombolezaji walioshiriki Ibada ya kuaga mwili wa kaka yake aliyekuwa Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Gerald Mpango iliofanyika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano lililopo Posta Jijini Dar es salaam.


Mwili wa Kaka wa Makamu wa Rais Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Gerald Mpango ukiingizwa katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano lililopo Posta jijini Dar es salaam kwaajili ya ibada ya kuuombea.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...