Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya  Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12, 2022 katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar. Mgeni Rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi. Hafla hiyo pia imehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.







Kikundi cha Komando kikipita kutoa heshima wakati wa Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya  Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12, 2022 katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar.








 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...