RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Balozi wa Ujerumani Nchi Tanzania.Mhe.Regine Hess, kuashiria kuzindua Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe. Jamal Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Balozi)Dr.Katrin Bornemann.(Picha na Ikulu)






WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Ujerumani, pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...