RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (aliyesimama katikati) akishuhudia utiaji wa saini ya Miradi mikubwa miwili ya Uwekezaji katika Sekta ya Utalii Zanzibar,kati ya SMZ na Kampuni ya Eagle Hills Regionals ya U.A.E, hafla hiyo imefanyika Dubai, kwa upande wa SMZ amesaini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Ndg. Shariff Ali Shariff na kwa upande wa Kampuni ya Eagle Hills Regional Properties ya (U.E.A) amesaini Bw.Mohammed Ali Rashid Al-Abbar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (aliyesimama katikati) akishuhudia ubadilishanaji wa hati za utiaji wa saini wa Miradi mikubwa miwili ya Uwekezaji katika Sekta ya Utani Zanzibar,kati ya SMZ na Kampuni ya Eagle Hills Regionals ya U.A.E, hafla hiyo iliyofanyika Dubai, kwa upande wa SMZ amesaini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Ndg. Shariff Ali Shariff na kwa upande wa Kampuni ya Eagle Hills Regional Properties ya (U.E.A) amesaini Bw.Mohammed Ali Rashid Al-Abbar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muwekekezaji wa Kampuni ya Eagle Hills Regionals Properties ya (U.A.) wakati wa utiaji wa Saini wa Miradi miwili mikubwa ya Uwekezaji Zanzibar, baina ya Kampuni hiyo na SMZ, hafla iliyofanyika Dubai Umoja wa Nchi wa Falme za Kiarabu.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...