Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (Kulia walioketi) na Rais wa Mastercard Kanda ya Africa, Kusini mwa Jangwa la Sahara Bw. Mark Elliot (Kushoto walioketi) wakitia saini makubaliano ya ushirikiano wa miaka 5 ili kuendeleza ubunifu kupitia njia ya malipo ya kidijitali nchini ikiwa pia ni jitihada za benki hiyo za kutoa ufumbuzi wa hali ya juu wa kibenki kwa wateja wake ili kwenda sambamba na mabadiliko ya haraka ambayo sekta ya huduma za kifedha inashuhudia. Hafla ya utiaji saini huo ilifanyika Makao Makuu ya Benki ya Exim jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikishuhdiwa na wawakilishi kutoka pande zote mbili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...