Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt Anna Peter Makakala akiwa na makamishna wastaafu na maafisa waandamizi kwennye mazishi ya Marehemu Mzee Raphael Augustino Kubaga, aliyekuwa Afisa Uhamiaji Mkuu mstaafu, katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo.
Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania na bingwa wa dunia wa mbio za mita 1500 wa zamani Filbert Bayi (kulia) akiongea na Mkuu wa Mahusiano ya Serikali wa Benki ya NBC William Kallaghe kwenye mazishi hayo








Makamishna wastaafu wa Uhamiaji walikuwepo

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Mstaafu Balozi Sylvester Ambokile (kulia) akiwa na Katibu wa Bunge mstaafu Dkt Thomas Kashilila na waombolezaji wengine 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...