Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere ambaye ni mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati akielekea katika Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuweka shada la maua Butiama Mkoani Mara leo tarehe 07 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere ambaye ni mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi mara baada ya kuweka shada la maua katika Kaburi hilo la Baba wa Taifa Butiama mkoani Mara leo tarehe 07 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Butiama mkoani Mara wakati akielekea Bunda mkoani humo leo  tarehe 07 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya kusafisha pamoja na kutibu Maji katika Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Miembeni katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara leo tarehe 07 Februari, 2022.

Sehemu ya Wananchi wa Butiama wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao leo tarehe 07 Februari, 2022. PICHA NA IKULU

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...