Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Tanzania Beatrice Singano mara baada ya mazungumzo na viongozi hao wa Kampuni ya Airtel Afrika leo tarehe 27 Februari, 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao mara baada ya mazungumzo na viongozi hao wa Kampuni ya Airtel Afrika leo tarehe 27 Februari, 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE

 

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...