Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Paris
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na Vijana na Watoto wakati akiwasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kuwasikiliza na kuzungumza nao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Samwel Shelukindo pamoja na Watanzania waishio Ufaransa wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Ubalozi, Paris nchini Ufaransa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio nchini Ufaransa baada ya kuwasikiliza na kuzungumza nao katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Paris.
Watanzania Waishio nchini Ufaransa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Paris.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa mara baada ya kuzungumza nao leo Paris nchini Ufaransa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mtoto ambaye wazazi wake ni Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa mara baada ya kuzungumza nao Paris nchini Ufaransa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watoto Watanzania ambao Wazazi wao wanaishi nchini Ufaransa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania Wanaoishi nchini Ufaransa kuhusu masuala mbalimbali leo tarehe 13 Februari, 2022 Jijini Paris nchini Ufaransa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...