Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond kwa ajili ya kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika katika hafla fupi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Sophia

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) waliompongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipongezwa na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022

Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond akizungumza na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania, TWPG (hawapo kwenye picha) waliompongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kuwa Spika katika hafla fupi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022

Wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakishiriki hafla fupi ya kumpongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kuwa Spika ilIyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...