Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Februari 7,2022 jijini Dodoma wakati akitoa tathmini ya mwenendo wa uzalishaji,usambazaji na bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu nchini kwa kipindi kinachoishia Februari 7,2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...