Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu (hayupo pichani), jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akila kiapo cha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akila kiapo cha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu (hayupo pichani), jijini Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimshukuru Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu (kulia), baada ya kumwapisha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, pamoja na wajumbe wengine walioapishwa akiwemo Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini (kulia kwa Waziri), jijini Dodoma leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...