Na Mwamvua Mwinyi-

Dkt. Joseph Chacha Sunguro wa hospitali ya CCBRT akimpima macho mmoja wa wakazi wa Kunduchi, Dar es Salaam katika zoezi la uchunguzi wa afya ya macho na magonjwa ya mifupa lilioendeshwa kwa pamoja katika ya hospitali ya CCBRT na kituo cha afya cha Jeshi la Polisi Kunduchi. 

Zaidi ya wakazi 100 wa Kunduchi wamepatiwa huduma hiyo. Tangu mwaka 2020 taasisi hizi mbili zimekuwa zikishirikiana  ili kuwa na nguvu ya pamoja katika kutoa huduma za afya kwa watanzania wenye mahitaji.  Kazi ya Jeshi la Polisi ni zaidi ya kuwalinda raia na mali zao inakwenda mbali kuwalinda kiafya.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...