*Stamico wang'arisha shamrashamra uwanja wa Uhuru

WAFANYAKAZI Serikali  na Taasisi zisizo za kiserikali wanawake katika Mkoa wa Dar es Salaam wameungana katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila mwaka Machi 8 kwa kuwa kauli mbiu ya Kizazi cha Haki na Usawa kwa Maendeleo Endelevu.

Katika Maadhumisho hayo wanawake wamesema kuwa kuadhimisha huko ni kuonyesha safari ya mwanamke na kuangalia mafanikio.

Hata hivyo katika maadhimisho haya wanawake wamejitokeza kwa shamlashamla ambazo zinaonyesha maendeleo endelevu yanaonekana.
Wafanyakazi wa Wanawake Shirika la Taifa la Madini (Stamico) wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani  ambayo hufanyika kila Machi 8 ambapo wanawake hao wameonyesha kujiamini katika kutenda kazi kwa maendeleo ya Taifa kama kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani Kizazi cha Haki na Usawa katika Maendeleo Endelevu,wafanyakazi hao walikuwa na shamlashala za za namna yake katika katika viwanja vya uhuru jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi Wanawake wa wa Tumaini Media wakiwa katika maadhimisho ya siku wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 wakiwa na Shamlashamla za za sherehe hizo.


Wafanyakazi Wanawake wa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wakiwa katika maadhimisho ya siku wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 wakiwa na Shamlashamla za za sherehe hizo.
Wafanyakazi Wanawake wa wa Magazeti ya Serikali ya Habari Leo na Daily News wakiwa katika maadhimisho ya siku wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 wakiwa na Shamlashamla za za sherehe hizo.
Wafanyakazi Wanawake wa wa  Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakiwa katika maadhimisho ya siku wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 wakiwa na Shamlashamla za za sherehe hizo.
Wafanyakazi Wanawake wa wa  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakiwa katika maadhimisho ya siku wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 wakiwa na Shamlashamla za za sherehe hizo.
Wafanyakazi Wanawake wa wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakiwa katika maadhimisho ya siku wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 wakiwa na Shamlashamla za za sherehe hizo.
Wafanyakazi Wanawake wa wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wakiwa katika maadhimisho ya siku wanawake Duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 wakiwa na Shamlashamla za za sherehe hizo.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...