Makamu wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman , akitoa salamu kwa waumini wa Kiislamu mara baada ya kukamilisha ibada ya swala ya Ijumaa huko Masjid Rahaman Mtoni Magharib ‘A’ Unguja leo.



Makamu wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kulia), akipokea zawadi ya Mas-haf yenye mukhutasari wa tafsri kutoka kwa Kiongozi wa Jumuiya Aslam Mzee Mashauri Shehe huko katika madrasa Rahaman iliyopo Mtoni Magharib ‘A’ Unguja . Mhe. Othman alitembelea madrasa ya Jumuiya hiyo kuona shughuli za mafunzo zinavyoendelea . Picha na Abeid Khamis,Kitengo cha Habari Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais.

Makamu wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto), akisalimiana na Imamu Mkuu wa Masjid Rahaman iliyopo Mtoni Magharib A Unguja sheikh Khamis Masoud , mara baada ya kuwasili kwa ibada ya swala ya Ijumaa. Picha na Abeid Khamis, Kitengo cha Habari Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...