Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikagua Shamba la Miti katika Msitu wa Rubare uliopo Bukoba mkoani Kagera wakati alipotembelea Msitu huo na maporomoko ya maji Kyamunene.
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigadia Jenerali Charles Mbuge pamoja na Mkuu wa Uhifadhi wa Msitu wa Rubare Mandalo Salum katika Maporoko ya Maji ya Kyamunene yaliopo Bukoba mkoani Kagera.
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kagera pamoja na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) alipotembelea msitu wa Rubare na Maporomoko ya Maji ya Kyamunene yaliopo Bukoba mkoani Kagera.
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipanda mti katika shamba la miti lililopo katika msitu wa Rubare wilayani Bukoba mkoani Kagera wakati alipotembelea na kukagua mistu huo
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo mara baada ya kutembelea Maporomoko ya Maji ya Kyamunene yaliopo Bukoba mkoani Kagera l
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...