Katibu mstaafu
wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Elizabeth Thomas ambaye alikuwa mgeni
rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo zaidi ya
walimu 200 pamoja na wafanyakazi wa MCB kutoka mkoa wa Dar es Salaam walijumuika pamoja katika
kusherehekea siku hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Ukuzaji Biashara na Masoko wa Benki ya Walimu Tanzania (MCB), Leticia Ndongole akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na benki hiyo na kuwakutanisha zaidi ya walimu 200.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...