Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma
Wajumbe mbalimbali wa Kikao cha Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kushiriki vikao hivyo leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka
Hamdu Shaka kuhusu matayarisho ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM
unaotarajiwa kufanyika kesho alipotembelea ukumbi wa Jakaya Kikwete
Jijini Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...