Mwandishi Wetu, Tunduru.

Mkazi wa Tunduru, mkoani Ruvuma, Omary Mashaka Hassan, amefanikiwa kuvuna Sh Milioni 10 za mchezo wa kubashiri matokeo wa Bikosports, akipata fedha hizo baada ya kugusa kilele cha ushindi kwa kuweka mkeka wa mechi 24 wenye thamani ya shilingi mia moja 100.

Akizungumza katika makabidhiano ya fedha hizo yaliyofanyika Tunduru, mkoani Ruvuma, Omary alisema bikosports ni mchezo mzuri unaotoa fedha nyingi, huku akisema bonansi ya kilele cha ushindi cha kuanzia mechi 3 kinarahisisha maisha kwa wote wanaobeti na kampuni ya bikosports.

Alisema amekuwa akitumia fursa pana ya kuweka mkeka kwa kutumia Bikosports akiamini ni sehemu nzuri ya kumfanya avune mamilioni ya fedha, huku akiwataka Watanzania wote wabeti kwa kupitia kampuni hiyo ili nao wawe kati ya wengi wanaoibuka na fedha kila siku.

“Nilibashiri mkeka wangu wa mechi 24 na kuweka mtaji wa sh 100 tu, jambo ambalo lilinifanya nifanikiwe kugusa kilele cha ushindi na hatimae watu wa bikosports kuja nyumbani kwetu kunikabidhi zawadi yangu ya pesa ambazo zitanisaidia kumalizia nyumba yangu na nyingine kulipa ada ya watoto.

“Nawaasa Watanzania wenzangu wote kuhakikisha kuwa bikosports ndio sehemu yao kuu ya kuwapatia mamilioni ya fedha kwa kuitumia kubetia kama ninavyofanya mimi, maana hata ulipaji wao hauna longolongo, ukishinda au ukigusa kilele unapokea zawadi zako kwa haraka,” Alisema Omary.

Watanzania wanaweza kubeti kuanzia mechi tatu na kuvuna bonansi hadi asilimia 100, ambapo kwa kutumia akaunti au bila akaunti, yeyote anaweza kubeti kupitia simu ya mkononi kwa kupiga *149*89# ama wanaoweka mkeka kwa kutumia mtandao wa www.bikosports.co.tz. , ambapo namba ya Kampuni ni 101010.

Bikosports ni mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani unaotoa uwanja mpana wa kila mtu kubeti ili wavune fedha za ushindi wao, huku njia ya uchezaji wa bikosports zikiwa tamu na rahisi ukiwepo mtandao wa www.bikosports.co.tz bila kusahau wanaotumia simu za mkononi za aina zote.Mkazi wa Tunduru mkoani Ruvuma, Omary Mashaka Hassan katikati akifurahia na majirani zake baada ya kukabidhiwa fedha zake Shilingi Milioni 10 alizoshinda kwenye mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali wa bikosports kwa kugusa kilele cha ushindi alipoweka mkeka wa shilingi 100 na kuvuna kiasi hicho cha pesa kwa kucheza kupitia simu ya mkononi *149*89# na mtandaoni www.bikosports.co.tz. huku namba ya Kampuni ni 101010. Picha na Mpigapicha wetu.
Mkazi wa Tunduru mkoani Ruvuma, Omary Mashaka Hassan akiwa mwenye furaha baada ya kukabidhiwa fedha zake Shilingi Milioni 10 alizoshinda kwenye mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali wa bikosports kwa kugusa kilele cha ushindi alipoweka mkeka wa shilingi 100 na kuvuna kiasi hicho cha pesa kwa kucheza kupitia simu ya mkononi *149*89# na mtandaoni www.bikosports.co.tz. huku namba ya Kampuni ni 101010. Picha na Mpigapicha wetu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...