Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo  anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake (hawapo pichani), alipokagua maendeleo ya mradi huo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo (kulia) anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), alipokagua maendeleo ya mradi huo.

 

Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo  anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na ujumbe wake walipokagua maendeleo ya mradi huo unaoendelea Rufiji mkoani Pwani.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115).

Muonekano wa miundombinu ya Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), ambalo ujenzi wake unaendelea Rufiji mkoani Pwani.

Baadhi ya wahandisi wanaosimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115), wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokagua maendeleo ya mradi huo.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...