Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiondoa Kitambaa kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani PwaniMtambo Mpya wa Maji Mlandizi-Chalinze-Mboga.Wananchi wa mkoa wa Pwani wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokua akizungumza nao kwenye Mkutano baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani PwaniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani katika Mkutano uliofanyika Viwanja vya Polisi Chalinze Mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga leo tarehe 22 Machi 2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...