RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe.Sayyid Badr Bin Hamad Bin Hamood Al Busaid alipowasili Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe.Sayyid Badr bin Hamad bin Hamood Al Busaid (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake, wakiwa katika mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Sayyid Badr bin Hamad bin Hamood Al Busaid, wakiagana baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe. Sayyid Badr bin Hamad bin Hamood Al Busaid, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...