Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan alitembelea banda la Benki ya Equity lililopo Mlimani City hapo jana kwenye maadhinisho ya Wiki ya Maji ambako alipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bi. Isabela Maganga, namna Benki ya Equity ilivyo mstari wa mbele kuhakikisha inachangia juhudi za serikali katika upatikanaji wa maji safi.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...