RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya ( GWPSA ), alipofia Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo na kutoa maelezo kuhusiana na mkutano wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022,  katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaaf wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, unaotarajiwa kufanyika kesho 11-3-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Rais Mstaaf wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWSPA) Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...