Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, ambapo amewahimiza wananchi wa kata hiyo kuwa na tabia ya kupanda miti hiyo itakayoweza kuwaingizia kipato pamoja na kutunza mazingira.



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Mafuta ya Oryx Tanzania, Ndg. Kalpesh Mehta na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania, Ndg. Benoit Araman



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na wananchi wa kata ya Nsalaga baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, ambapo amewahimiza wananchi wa kata hiyo kuwa na tabia ya kupanda miti ya maparachichi itakayoweza kuwaingizia kipato pamoja na kutunza mazingira.


Wananchi wa kata ya Nsalaga Jijini Mbeya wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata hiyo leo Machi 7, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...