Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022Spika wa Bunge la Namibia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF), Prof. Peter Katjavivi akiongoza kikao cha Umoja huo katika Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Elibariki Kingu akichangia jambo wakati wa kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
 
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...