Margaret Karume, Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya NCBA akitoa neno kwa watoto wa wafanyakazi wa benki NCBA walipotembelea benki hio siku ya kimataifa ya wanawake ikiwa ni sehemu ya kujifunza kimatendo.
Picha ya pamoja ya watoto wa wafanyakazi wa benki ya NCBA na Margaret Karume, Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki hio.
Watoto wa wafanyakazi wakiwa dirisha la utoaji huduma kwa wateja kwenye benki ya NCBA kama sehemu.yao ya kujifunza kimatendo.
Home
HABARI
Watoto wa wafanyakazi wa benki NCBA walipotembelea benki hiyo siku ya kimataifa ya wanawake kujifunza kimatendo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...