Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Uhamiaji Nchini, CGI Dkt. Anna Makakala, alipokuwa akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiandika maoni ya Watendaji Wakuu wa Taasisi za Wizara yake, walipokuwa wakizungumza katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Viongozi Wakuu wa Taasisi za Wizara yake pamoja na Maafisa mbalimbali wa Taasisi hizo (hawapo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiandika maoni ya Watendaji Wakuu wa Taasisi za Wizara yake (hawapo pichani), walipokuwa wakizungumza katika kikao cha kupitia taarifa za Bajeti, madeni na mikopo ya Wizara, kilichofanyika ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...