Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jenerali Yousef Alhunaity ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan (The Chairman Chiefs of Staf of the Hashemite Kingdom of Jordan) baada ya kushiriki katika mkutano wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mbarouk Nassor Mbarouk.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jenerali Yousef Alhunaity ambaye ni Mkuu wa Majeshi wa Jordan (The Chairman Chiefs of Staf of the Hashemite Kingdom of Jordan) baada ya kushiriki katika mkutano wa kujadili usalama kwenye eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo jirani uliofanyika Machi 24, 2022 kwenye mji wa Aqaba nchini Jordan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...