
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge kutoka kwa Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Benki ya CRDB mara baada ya Benki hiyo kumkabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo miswala, tasbihi, chetezo, vikombe, tende na udi kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa waheshimiwa Wabunge
PICHA NA OFISI YA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...