



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akipiga kura ya kuchagua Uongozi wa CCM Shina namba 5,Tawi la Kilimani, Kata ya Kilimani, Dodoma.(

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiwa akizungumza na baadhi ya wanachama wa Shina namba 5 akiwemo Katibu wa NEC,Idara ya Oganaizesheni ya CCM Dkt. Moudline Cyrus Castico wakati wa uchaguzi wa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Shina, Tawi la Kilimani, Kata ya Kilimani, Dodoma.(Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)
Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiwa
amejumuika na wanachama wa Shina namba 5 kwa ajili ya kuchagua Viongozi
wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Shina, Tawi la Kilimani, Kata ya
Kilimani, Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...