RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba (Picha na Ikulu)MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe Salama Mbarouk Khatib.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...