Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani leo tarehe 21, Aprili, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani mara baada ya kuzungumza nao leo tarehe 21, Aprili, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...