Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (kushoto)ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es SalaamKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwwenye picha ya pamojana Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (kushoto)mara baada ya mazungumzo ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...