Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini Zlatan Milisic akimkabidhi Nishani Maalum ya Shukrani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango mara baada ya Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini leo tarehe 17 Mei 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango pamoja na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini Zlatan Milisic wakiweka saini katika Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini mara baada ya uzinduzi wa mpango huo leo tarehe 17 Mei 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi, Wadau wa Maendeleo Pamoja na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini wakati wa Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini leo tarehe 17 Mei 2022.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2022-2027) wa ushirikiano baina ya Tanzania na Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini leo tarehe 17 Mei 2022.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...