Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jijini Kampala katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta hiyo kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.
Mawaziri pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Mkutano wa Biashara uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Nchini Uganda Jijini Kampala, baada ya kumalizika Mkutano wa Biashara uliowahusisha Watendaji Wakuu CEOs wa Sekta Binafsi kutoka Tanzania na Uganda tarehe 10 Mei, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...