Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashidi Makame Shamsi akizungumza na wageni waalikwa pamoja na wanakongamano alipofika kukagua, kusalimia na kutoa salamu za Serikali ya Zanzibar wakati wa kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa katika eneo la Makunduchi, Zanzibar.
Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala akizungumza na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashidi Makame Shamsi alipofika kwa ajili ya kukagua, kusalimia na kutoa salamu za Serikali ya Zanzibar kwa washiriki wa kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa siku tatu katika eneo la Makunduchi, Zanzibar
Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Makunduchi A/INS Mtumwa Mussa akizungumza na washiriki wa kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa siku tatu katika eneo la Makunduchi, Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashidi Makame Shamsi akiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi wa Shirika la Shina INC wakiongozwa na Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala mara baada ya kuwasili kwenye kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa siku tatu katika eneo la Makunduchi, Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...