NAIBU Waziri Wizara ya ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi , Ridhiwani Kikwete akikagua kazi ya kubadili Nyaraka toka kwenye Mfumo wa Analogia kuwa wa kidigitali.
Amesema Zoezi hilo linakwenda sambamba na kazi ya kubadili taarifa zote za Ardhi na Shughuli za utawala wa Ardhi Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...