Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government ), Said Seif Said muda mfupi baada ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa Huduma
ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar
(E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha
ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi ikiwamo ada
na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo
(one centre collection). Hafla hiyo imekafika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government ), Said Seif Said wakitiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa Huduma
ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar
(E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha
ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi ikiwamo ada
na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo
(one centre collection). Hafla hiyo imekafika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto) akizungumza katika hafla fupi ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa Huduma
ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar
(E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha
ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi ikiwamo ada
na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo
(one centre collection), katika hafla iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government ), Said Seif Said (kulia) akizungumza katika hafla fupi ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa Huduma
ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar
(E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha
ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi ikiwamo ada
na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo
(one centre collection), katika hafla iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo (kushoto) na Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa wakifatilia hafla ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa Huduma
ya Malipo kwa Mtandao baina ya Benki ya CRDB na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar
(E-Government), utakaolenga kuboresha huduma zitolewazo kwa Wateja na Watanzania kwa ujumla ikiwa ni pamoja na kurahisisha
ukusanyaji mapato, malipo ya Taasisi za Serikali na binafsi ikiwamo ada
na kusaidia ukuaji wa utalii kwa kuwa na kituo kimoja cha makusanyo
(one centre collection), katika hafla iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Park Hyatt, Unguja, Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...