Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dk. Saada Mkuya (katikati), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Bi. Rahma Ngassa katika mkutano aliouandaa akiwashirikisha wakuu wa taasisi mbalimbali za fedha za bara na visiwani kujadili fursa mbalimbali za kifedha zipatikanazo katika kampeni ya uchumi wa buluu iliyoasisiwa na Rais wa nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi. Hafla hiyo ilifanyika visiwani humo jana. Uchumi wa Buluu ni dhana inayohusisha uchumi unaojijenga katika Utalii, Uvuvi, Mafuta, gesi na viwanda vinavyotumia malighafi za bahari.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa akizungumza huku wajumbe wengine wakimsikiliza katika mkutano uliandaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dk. Saada Mkuya (hayupo pichani), ukiwashirikisha wakuu wa taasisi mbalimbali za fedha za bara na visiwani kujadili fursa mbalimbali za kifedha zipatikanazo katika kampeni ya uchumi wa buluu iliyoasisiwa na Rais wa nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi inayoendelea visiwani humo. Hafla hiyo ilifanyika mjini Zanzibar jana. Uchumi wa Buluu ni dhana inayohusisha uchumi unaojijenga katika Utalii, Uvuvi, Mafuta, gesi na viwanda vinavyotumia malighafi za bahari.

 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya DCB, Rahma Ngassa akishiriki pamoja na washiriki wengine mkutano uliandaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dk. Saada Mkuya (hayupo pichani), ukiwashirikisha wakuu na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za fedha za bara na visiwani kujadili fursa mbalimbali za kifedha zipatikanazo katika kampeni ya uchumi wa buluu iliyoasisiwa na Rais wa nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi inayoendelea visiwani humo. Hafla hiyo ilifanyika mjini Zanzibar jana. Uchumi wa Buluu ni dhana inayohusisha uchumi unaojijenga katika Utalii, Uvuvi, Mafuta, gesi na viwanda vinavyotumia malighafi za bahari.



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa (katikati, akipozi katika picha pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dk. Saada Mkuya (wa tatu kushoto) pamoja na wakuu na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za fedha kutoka bara na visiwani mara baada ya mkutano ulioandaliwa na mheshimiwa waziri kujadili fursa mbalimbali za kifedha zipatikanazo katika kampeni ya uchumi wa buluu iliyoasisiwa na Rais wa nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi inayoendelea visiwani humo. Hafla hiyo ilifanyika mjini Zanzibar jana. Uchumi wa Buluu ni dhana inayohusisha uchumi unaojijenga katika Utalii, Uvuvi, Mafuta, gesi na viwanda vinavyotumia malighafi za bahari.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...