

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati Dua maalum ya kitaifa sambamba na dhifa ya chakula cha mchana kwa watoto mayatima hafla iliyofanyika leo viwanja vya Mao Dze Dong Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11julai 2022.

Watoto mayatima wakiwa katika hafla ya dua na dhifa ya chakula cha mchana kitaifa iliyoandaliwa na Taasisi ya “NURU FOUNDATION ZANZIBAR” upendo ni Nuru katika viwanja vya Mao Dze Dong Jijini mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo.[Picha na Ikulu] 11julai 2022.

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya dhifa ya chakula cha mchana kwa watoto mayatima iliyoandaliwa na Taasisi ya “NURU FOUNDATION ZANZIBAR” katika viwanja vya Mao Dze Dong Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11julai 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...