Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akikagua uimara wa moja ya madirisha ya chumba cha mahabusu katika mradi wa kituo kikuu cha Polisi chenye hadhi ya daraja A kilichopo Kigambowni ambao ujenzi wake hadi sasa umefikia katika hatua ya umaliziaji ili kiweze kutoa huduma kwa wananchi. Picha na Jeshi la Polisi

*************************

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amefanya ziara ya kushtukiza kwa kukagua Mradi wa ujenzi wa upanuzi wa jengo la hospitali ya rufaa ya Polisi na Ujenzi wa kituo kikuu cha Polisi daraja A cha wilaya ya kigamboni na kuridhishwa na kasi ujenzi wa majengo hayo .

Akiwa kwenye ukaguzi huo jijini Dar es salaam IGP Sirro pia ameelekeza makamanda waliopewa dhamana kuhakikisha wanasimamia fedha za umma na kuonyesha thamani ya fedha hiyo kwa kukamilisha miradi hiyo kwa wakati unaokusudiwa hili jamii iweze kupata huduma kwa urahisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...