Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakihudhuria Ibada ya Hijja mjini Mecca, Saudi Arabia, wakisindikizwa na Balozi wa Tanzania nchini humo Mhe Ali Jabir Mwadini.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Profesa Mohamed Janabi wakihudhuria Ibada ya Hijja mjini Mecca, Saudi Arabia, wakisindikizwa na Balozi wa Tanzania nchini humo Mhe Ali Jabir Mwadini.



 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...