Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi msaada wa vifaa maalum vya kupima mapigo ya moyo na Oksijeni vinavyofahamika kama Hand Held Pulse Oximeter kwa Mkurugenzi  wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Muhimbili Sr. Zuhura Mawona kwaajili ya Wodi ya Watoto Njiti leo tarehe 5 Julai 2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...