Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo mkoani Kilimanjaro



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipanda mti katika eneo la Hospitali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata Kirongo Samanga ya mkoani Kilimanjaro wakati wa uwekaji jiwe la msingi katika Hospitali hiyo



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akicheza ngoma ya kikundi cha msanja kutoka kata ya Njoro Manispaa ya Moshi wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo mkoani Kilimanjaro


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wananchi mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo iliopo kata ya Kirongo Samanga mkoani Kilimanjaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...