Mkurugenzi
Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA),
CPA Pius A. Maneno akiwa kwenye picha ya Pamoja na wafanyakazi wenzake
wa Bodi hiyo mara baada ya kumaliza kutembelea mabanda mbalimbali
yaliyopo ndani ya jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye Maonesho ya
46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Bajeti Idara ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango, Agnetah Rushekya kuhusu Wizara hiyo inavyosimamia miradi ya Maendeleo alipotembelea Banda la Wizara hiyo wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Zuberi Msisi alipokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu Mfumo wa kielekroniki wa Malipo ya Huduma za Serikali GePG alipotembelea Banda la Wizara hiyo wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka Afisa Masoko wa UTTAMIS, Dorice Mlenge kuhusu uwekezaji kwenye mifuko mbalimbali ya UTTAMIS
alipotembelea Banda la Taasisi hiyo wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Ununuzi -PPRA, Mwanaisha Mollel(kulia) alipokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka hiyo alipotembelea Banda la Mamlaka ya Udhibiti wa. Ununuzi wa Umma(PPRA) wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Mahusiano kwa Umma - PPRA, Mcharo Mrutu(wa Pili kulia) alipokuwa anajibu maswali kuhusu kazi zinazofanywa na mamlaka hiyo wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko Mwandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) Andrew Punjila(kulia) kuhusu namna ya kushiriki kwenye zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika mwezi wa nane mwaka huu wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu kwenye Banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alipikuwa anatembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhadhiri kutoka Chuo cha Mipango na Maendeleo ya Jamii (IRDP)Christopher Mdoe alipikuwa anatembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) alipikuwa anatembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...