RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba leo.27-7-2022.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Kampuni ya Ujenzi ya Mwinyi Bulding Contractor Alawi Abdalla Ahmed, akitowa maelezo ya Kitaalum ya michoro ya Ujenzi huo, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahro Masoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi Pujini inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19.(Picha na Ikulu)
Home
HABARI
RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI SKULI YA MSINGI YA PUJINI AKIENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA KUSINI PEMBA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...