Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antonio Tshisekedi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antonio Tshisekedi mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 19 Julai 2022. Kushoto Balozi wa Congo (DRC) Nchini Tanzania Mhe. Jean Pierre Mutamba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...