Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Filbert Bayi akiongea na wanamichezo wa Tanzania watakaoshiriki kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola wakati yeye na Rais wa TOC Gullam Abdullah Rashid (wa pili kulia) walipowatembelea katika kijiji cha wanamichezo kilicho katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, ambako mashindano hayo yanafunguliwa rasmi siku ya Alhamisi Julai 28, 2022. Wengine pichani ni Makamu wa Rais wa TOC Henry Tandau na Meneja wa timu Suleiman Jabir Mahmoud.


Rais Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Bw. Gullam Abdullah Rashid (walioketi wa pili kulia) na Katibu Mkuu wake Bw. Filbert Bayi wakiongea na  wanamichezo wa Tanzania watakaoshiriki kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola na viongozi wao walipowatembelea kuwajulia hali na kuwatia moyo kambini kwao katika kijiji cha wanamichezo kilicho katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, ambako mashindano hayo yatayofunguliwa rasmi siku ya Alhamisi Julai 28, 2022 yanaandaliwa. Wengine walioketi nao ni Makamu wa Rais wa TOC Bw. Henry Tandau (wa pili kushoto) na Meneja wa timu Suleiman Jabir Mahmoud (kushoto).

Rais Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Bw. Gullam Abdullah Rashid (walioketi wa pili kulia) na Katibu Mkuu wake Bw. Filbert Bayi wakipata picha ya kumbukumbu na wanamichezo wa Tanzania watakaoshiriki kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola walipowatembelea kuwajulia hali na kuwatia moyo kambini kwao katika kijiji cha wanamichezo kilicho katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, ambako mashindano hayo yatayofunguliwa rasmi siku ya Alhamisi Julai 28, 2022 yanaandaliwa. Wengine walioketi nao ni Makamu wa Rais wa TOC Bw. Henry Tandau (wa pili kushoto) na Meneja wa timu Suleiman Jabir Mahmoud (kushoto).
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...